Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 2:18-19

Yak 2:18-19 SUV

Lakini mtu atasema, Wewe unayo imani, nami ninayo matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa njia ya matendo yangu. Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.

Soma Yak 2