Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 64:1-2

Isa 64:1-2 SUV

Laiti ungepasua mbingu, na kushuka, ili milima iteteme mbele zako; kama vile moto uchomapo vichaka, na moto uchemshapo maji; ili kuwajulisha adui zako jina lako, mataifa wakatetemeke mbele zako!

Soma Isa 64