Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 60:1-3

Isa 60:1-3 SUV

Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa BWANA umekuzukia. Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali BWANA atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako. Na mataifa wataijilia nuru yako, Na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka kwako.

Soma Isa 60

Picha ya aya ya Isa 60:1-3

Isa 60:1-3 - Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja,
Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
Maana, tazama, giza litaifunika dunia,
Na giza kuu litazifunika kabila za watu;
Bali BWANA atakuzukia wewe,
Na utukufu wake utaonekana juu yako.
Na mataifa wataijilia nuru yako,
Na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka kwako.