Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 6:5

Isa 6:5 SUV

Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu; na macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA wa majeshi.

Soma Isa 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 6:5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha