Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 23:1

Isa 23:1 SUV

Ufunuo juu ya Tiro. Toeni sauti za uchungu, enyi merikebu za Tarshishi, kwa maana umeharibika kabisa, hata hapana nyumba, hapana mahali pa kuingia; toka nchi ya Kitimu wamefunuliwa habari.

Soma Isa 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 23:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha