Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 8:1-2

Ebr 8:1-2 SUV

Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni, mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu.

Soma Ebr 8