Ebr 4:8-9
Ebr 4:8-9 SUV
Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye. Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.