Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 3:13-14

Ebr 3:13-14 SUV

Lakini mwonyane kila siku, maadamu iitwapo leo; ili mmoja wenu asifanywe mgumu kwa udanganyifu wa dhambi. Kwa maana tumekuwa washirika wa Kristo, kama tukishikamana na mwanzo wa uthabiti wetu kwa nguvu mpaka mwisho

Soma Ebr 3