Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 10:30-31

Ebr 10:30-31 SUV

Maana twamjua yeye aliyesema, Kupatiliza kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa. Na tena, Bwana atawahukumu watu wake. Ni jambo la kutisha kuanguka katika mikono ya Mungu aliye hai.

Soma Ebr 10