Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 6:9-10

Mwa 6:9-10 SUV

Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu. Nuhu alikuwa mtu wa haki, mkamilifu katika vizazi vyake; Nuhu alikwenda pamoja na Mungu. Nuhu akazaa wana watatu wa kiume, Shemu, na Hamu, na Yafethi.

Soma Mwa 6