Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 45:6-7

Mwa 45:6-7 SUV

Maana miaka hii miwili njaa imekuwa katika nchi, na iko tena miaka mitano isiyo na kulima wala kuvuna. Mungu alinipeleka mbele yenu kuwahifadhia masazo katika nchi, na kuwaokoa ninyi kwa wokovu mkuu.

Soma Mwa 45