Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 38:9-10

Mwa 38:9-10 SUV

Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye naye.

Soma Mwa 38