Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 31:6-7

Mwa 31:6-7 SUV

Nanyi mmejua ya kwamba kwa nguvu zangu zote nimemtumikia baba yenu. Na baba yenu amenidanganya, akabadili mshahara wangu mara kumi; lakini Mungu hakumwacha kunidhuru.

Soma Mwa 31