Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 3:4-6

Mwa 3:4-6 SUV

Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa, kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya. Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.

Soma Mwa 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 3:4-6