Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 3:12-13

Mwa 3:12-13 SUV

Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala. BWANA Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala.

Soma Mwa 3