Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 26:34-35

Mwa 26:34-35 SUV

Esau alipokuwa mwenye miaka arobaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti. Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao.

Soma Mwa 26