Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 21:19-20

Mwa 21:19-20 SUV

Mungu akamfumbua macho, naye akaona kisima cha maji; akaenda akakijaza kiriba maji, akamnywesha kijana. Mungu akawa pamoja na huyo kijana, naye akakua, akakaa katika jangwa, akawa mpiga upinde.

Soma Mwa 21