Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 2:8-10

Mwa 2:8-10 SUV

BWANA Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya. BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Ukatoka mto katika Edeni wa kuitilia bustani maji, na kutokea hapo ukagawanyika kuwa vichwa vinne.

Soma Mwa 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 2:8-10