Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 12:14-15

Mwa 12:14-15 SUV

Basi ikawa Abramu alipofika Misri, Wamisri wakamwona huyo mwanamke ya kwamba yeye ni mzuri sana. Wakuu wa Farao wakamwona, nao wakamsifu kwa Farao; basi yule mwanamke akachukuliwa nyumbani mwa Farao.

Soma Mwa 12