Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 25:8-9

Kut 25:8-9 SUV

Nao na wanifanyie patakatifu; ili nipate kukaa kati yao. Sawasawa na haya yote nikuonyeshayo, mfano wa maskani, na mfano wa vyombo vyake vyote, ndivyo mtakavyovifanya.

Soma Kut 25