Kut 24:12-13
Kut 24:12-13 SUV
BWANA akamwambia Musa, Njoo huku juu kwangu mlimani, uwe huku; nami nitakupa mbao za mawe na ile sheria na hiyo amri niliyoiandika ili uwafundishe. Musa akaondoka na Yoshua, mtumishi wake, Musa akapanda mlimani kwa Mungu.