Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 23:28-29

Kut 23:28-29 SUV

Nami nitapeleka mavu mbele yako, watakaomfukuza Mhivi, na Mkanaani, na Mhiti, watoke mbele yako. Sitawafukuza mbele yako katika mwaka mmoja; nchi isiwe ukiwa, na wanyama wa bara wakaongezeka kukusumbua.

Soma Kut 23