Kut 16:28-29
Kut 16:28-29 SUV
BWANA akamwambia Musa, Mtakataa kuyashika maagizo yangu na sheria zangu hata lini? Angalieni, kwa kuwa BWANA amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.