Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 10:18-19

Kut 10:18-19 SUV

Akatoka kwa Farao, na kumwomba BWANA. BWANA akaugeuza upepo wa magharibi wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka katika Bahari ya Shamu; hakusalia hata nzige mmoja ndani ya mipaka yote ya Misri.

Soma Kut 10

Video ya Kut 10:18-19