Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 6:14-17

Efe 6:14-17 SUV

Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani; zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu

Soma Efe 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 6:14-17