Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 1:1-2

Efe 1:1-2 SUV

Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu; kwa watakatifu walioko [Efeso] wanaomwamini Kristo Yesu. Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.

Soma Efe 1