Mhu 10:16-18
Mhu 10:16-18 SUV
Ole wako, nchi, akiwa mfalme wako ni kijana, Na wakuu wako hula asubuhi! Heri kwako, nchi, mfalme wako akiwa mtoto wa watu, Na wakuu wako hula wakati ufaao, Ili makusudi wapate nguvu, wala si kwa ajili ya ulevi. Kwa sababu ya uvivu paa hunepa; Na kwa utepetevu wa mikono nyumba huvuja.