Kum 10:14-15
Kum 10:14-15 SUV
Tazama, mbingu ni mali za BWANA, Mungu wako, na mbingu za mbingu, na nchi, na vitu vyote vilivyomo. Tena, BWANA aliwafurahia baba zako, na kuwapenda, akawachagua wazao wao baada yao, naam, na ninyi zaidi ya mataifa yote kama hivi leo.