Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 10:12-13

Kum 10:12-13 SUV

Na sasa, Israeli, BWANA, Mungu wako, anataka nini kwako, ila umche BWANA, Mungu wako, na kwenda katika njia zake zote, na kumpenda, na kumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote; kuzishika amri za BWANA na sheria zake, ninazokuamuru leo, upate uheri?

Soma Kum 10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha