Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kol 3:8-9

Kol 3:8-9 SUV

Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake

Soma Kol 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kol 3:8-9