Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kol 1:1-2

Kol 1:1-2 SUV

Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo, ndugu yetu, kwa ndugu watakatifu, waaminifu katika Kristo, walioko Kolosai. Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu.

Soma Kol 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kol 1:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha