Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 9:33-34

Mdo 9:33-34 SUV

Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea, mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza. Petro akamwambia, Ainea, Yesu Kristo akuponya; ondoka, ujitandikie. Mara akaondoka.

Soma Mdo 9