Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 9:11-12

Mdo 9:11-12 SUV

Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba; naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena.

Soma Mdo 9