Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 10:23-24

Mdo 10:23-24 SUV

Akawakaribisha wawe wageni wake. Hata siku ya pili, Petro akaondoka akatoka pamoja nao, na baadhi ya ndugu waliokaa Yafa wakafuatana naye. Siku ya pili yake wakaingia Kaisaria. Na Kornelio alikuwa akiwangojea, hali amekusanya jamaa zake na rafiki zake.

Soma Mdo 10