Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 10:28-29

2 Fal 10:28-29 SUV

Ndivyo Yehu alivyomharibu Baali katika Israeli. Walakini katika makosa yake Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli, Yehu hakutoka katika kuyafuata, yaani, ndama za dhahabu zilizokuwako katika Betheli na Dani.

Soma 2 Fal 10