Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 8:11-12

2 Kor 8:11-12 SUV

Lakini sasa timizeni kule kutenda nako, ili kama vile mlivyokuwa tayari kutaka, vivyo hivyo mkawe tayari na kutimiza, kwa kadiri ya mlivyo navyo. Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.

Soma 2 Kor 8