Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 5:19-21

2 Kor 5:19-21 SUV

yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho. Basi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu. Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.

Soma 2 Kor 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 5:19-21