Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 4:8-10

2 Kor 4:8-10 SUV

Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa; twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi; siku zote twachukua katika mwili kuuawa kwake Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu.

Soma 2 Kor 4