Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 13:5-8

2 Kor 13:5-8 SUV

Jijaribuni wenyewe kwamba mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa mmekataliwa. Lakini natumaini kama mtajua ya kuwa sisi hatukukataliwa. Nasi twamwomba Mungu, msifanye lo lote lililo baya; si kwamba sisi tuonekane tumekubaliwa, lakini ninyi mfanye lile lililo jema, tujapokuwa sisi tu kama waliokataliwa. Maana hatuwezi kutenda neno lo lote kinyume cha kweli, bali kwa ajili ya kweli.

Soma 2 Kor 13