2 Kor 11:1-3
2 Kor 11:1-3 SUV
Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami. Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi. Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.