Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 6:11-12

1 Tim 6:11-12 SUV

Bali wewe, mtu wa Mungu, uyakimbie mambo hayo; ukafuate haki, utauwa, imani, upendo, saburi, upole. Piga vita vile vizuri vya imani; shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi.

Soma 1 Tim 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 6:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha