Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 4:8-10

1 Pet 4:8-10 SUV

Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi. Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung’unika; kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.

Soma 1 Pet 4