Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 4:13-14

1 Pet 4:13-14 SUV

Lakini kama mnavyoyashiriki mateso ya Kristo, furahini; ili na katika ufunuo wa utukufu wake mfurahi kwa shangwe. Mkilaumiwa kwa ajili ya jina la Kristo ni heri yenu; kwa kuwa Roho wa utukufu na wa Mungu anawakalia.

Soma 1 Pet 4