Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 8:39-40

1 Fal 8:39-40 SUV

basi, usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukatende, ukampe kila mtu kwa kadiri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu wote); ili wakuche wewe siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.

Soma 1 Fal 8