Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 19:4

1 Fal 19:4 SUV

Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu.

Soma 1 Fal 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 19:4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha