Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 17:21-22

1 Fal 17:21-22 SUV

Akajinyosha juu ya mtoto mara tatu, akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena. BWANA akaisikia sauti ya Eliya; na roho ya mtoto ikamrudia, akafufuka.

Soma 1 Fal 17