Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 14:29-31

1 Fal 14:29-31 SUV

Na mambo yake Rehoboamu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Yuda? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote. Rehoboamu akalala na babaze, akazikwa pamoja na babaze mjini mwa Daudi. Na jina la mamaye aliitwa Naama, Mwamoni. Na mwanawe, Abiya, alitawala mahali pake.

Soma 1 Fal 14