Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 5:18-19

1 Yoh 5:18-19 SUV

Twajua ya kuwa kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi; bali yeye aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hamgusi. Twajua ya kuwa sisi tu wa Mungu; na dunia yote pia hukaa katika yule mwovu.

Soma 1 Yoh 5