Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 4:10-11

1 Yoh 4:10-11 SUV

Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu. Wapenzi ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa na sisi kupendana.

Soma 1 Yoh 4