Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 3:21-22

1 Yoh 3:21-22 SUV

Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu; na lo lote tuombalo, twalipokea kwake, kwa kuwa twazishika amri zake, na kuyatenda yapendezayo machoni pake.

Soma 1 Yoh 3